GE2025 Askofu Jacob Kahemele: Kugombana siyo kukomaa kisiasa, nendeni mkapige kura

GE2025 Askofu Jacob Kahemele: Kugombana siyo kukomaa kisiasa, nendeni mkapige kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mimi sikatai kuna mambo watu wanaona si sawa hatuwezi kubisha, si wewe unavyoona na mimi ni nanvyoona na mimi nikiona mambo si sawa nitasema mambo hako sawa. Lakini hatua gani nachukua baada ya kuona mambo si sawa ni majadiliano na kuzungumza ili niweze kuwasilisha hoja yangu kwamba mambo haya si sawa, lakini tukianza kurushiana mawe kwa sababu mitazamo yetu ni tofauti inatusaidia nini? Askofu Jacob Kahemele wa Kanisa la Anglican akizungumza leo Dar

 
Back
Top Bottom