Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mimi sikatai kuna mambo watu wanaona si sawa hatuwezi kubisha, si wewe unavyoona na mimi ni nanvyoona na mimi nikiona mambo si sawa nitasema mambo hako sawa. Lakini hatua gani nachukua baada ya kuona mambo si sawa ni majadiliano na kuzungumza ili niweze kuwasilisha hoja yangu kwamba mambo haya si sawa, lakini tukianza kurushiana mawe kwa sababu mitazamo yetu ni tofauti inatusaidia nini? Askofu Jacob Kahemele wa Kanisa la Anglican akizungumza leo Dar