Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
MmmmhHao mbingu uhakika.
Peponi moja kwa moja huyo
Ukipata uhakika urudi hapa piaHii habari nitapata uhakika wake kwenye ukurasa wa Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula....
In fact hata huyu bishop nimemfaham kupitia Askofu Mwamakula kwenye post yake ya jana au leo kama sikosei japo ilikua inazungumzia masuala mengine. Kumbe imempendeza Bwana Askofu Ramadhani arudi mavumbini.
Jina la Bwana lihimidiwe
Mwamakula kichwa chake kina madini mengi sanaHii habari nitapata uhakika wake kwenye ukurasa wa Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula....
In fact hata huyu bishop nimemfaham kupitia Askofu Mwamakula kwenye post yake ya jana au leo kama sikosei japo ilikua inazungumzia masuala mengine. Kumbe imempendeza Bwana Askofu Ramadhani arudi mavumbini.
Jina la Bwana lihimidiwe
We ni Mungu kwani ?Peponi moja kwa moja huyo
Apumzike kwa amaniHabari zalizotufikia hivi punde ni kuwa askofu mstaafu wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Zanzibar na askofu mkuu msataafu wa Kanisa Anglikana jimbo la Tanzania John Ramadhani amefairiki dunia.
Bishop Ramadhani ni kaka wa marehemu jaji mkuu msataafu wa Tanzania Jaji Augustino Ramadhani.
Bishop Ramadhani atakumbukwa kwa harakati zake za kuueneza ukristo na kuitetea imani ya Kikristo visiwani Zanziar.
Mungu ampumzishe kwa amaniView attachment 2354918View attachment 2354919View attachment 2355294
Kuna miaka ya nyuma tulikuwa tunamsikia RTD ni kama alikuwa Dodoma kama sijakosea alihudumu Dayosisi ya Central TanganyikaHabari zalizotufikia hivi punde ni kuwa askofu mstaafu wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Zanzibar na askofu mkuu msataafu wa Kanisa Anglikana jimbo la Tanzania John Ramadhani amefairiki dunia.
Bishop Ramadhani ni kaka wa marehemu jaji mkuu msataafu wa Tanzania Jaji Augustino Ramadhani.
Bishop Ramadhani atakumbukwa kwa harakati zake za kuueneza ukristo na kuitetea imani ya Kikristo visiwani Zanziar.
Mungu ampumzishe kwa amani