Kutekana kutumia vyombo vya serikali ni hatari sana, inaweza kuwafanya wananchi kutokuwa na imani na vyombo vyote vya serikali.
Sio inaweza. Tayari hivyo ndivyo ilivyo...!
Hili ni genge la UGAIDI hatari. Kazi yake ni ku - terrorize wakosoaji wa serikali, CCM na Rais Samia Suluhu Hassan..
Hili genge la
UJAMBAZI na
UGAIDI limejipanga kwelikweli. Wana watu wao ktk kila chombo cha
kusimamia sheria na haki Ili kukwamisha na kuzuia maamuzi yoyote ya haki kutolewa na wenye mamlaka ya kutoa maamuzi hayo;
SERIKALINI - ndio hao kina Mchengerwa, Mwigulu Nchemba (mtoa pesa hazina na kufadhili genge hili). nk
BUNGENI - Ndivyo tena. Tulia Ackson (Spika wa Bunge). Yuko assigned special task kwa kutoruhusu mjadala wowote utakaoathiri shughuli za genge hili la ujambazi na UGAIDI ambao kiuhalisia unafanywa na dola yenyewe kwa mlango wa nyuma kinyume cha sheria na katiba...
Hata ikitokea hoja imepenya ikaingia bungeni, wapo Wabunge maalumu walio sehemu ya genge hili ndio watakaoongea na baadaye azimio lisilo na impact hasi yoyote kwa shughuli za kundi hili litapitishwa...
MAHAKAMANI - Kwanza ni kuhakikisha top wa mahakama ni member. Kisha mahakimu na majaji maalumu wanaingizwa kuwa members wa genge hili. Kila kesi inayokwenda mahakamani yenye mwelekeo wa kulifunua na kulidhibiti genge hili, basi hupangiwa hakimu au jaji mwanachama wa genge hili. Ndiyo maana ya ile hukumu ya juzi kuhusu Deusdith Soka kuwa vile. Si bahati mbaya, ni mpango maalumu huo bro....
POLISI: Aaah, huku ndo usiseme Sasa. Ni vurugu tupu. Top wote wa TANPOL walishakuwa initiated (ingizwa) ndani ya genge hili. Hebu angalia ukichaa, bangi na uwendawazimu wa Awathi Haji (kamanda wa Operesheni na mafunzo wa Jeshi la police) alichowafanyia CHADEMA kule Mbeya siku chache zilizopita. Unadhani hizo ni akili za kawaida au ushetani tu ule...?
Kikosi kazi cha KUTEKA, KUTESA na KUUA (abduction) Kiko ndani ya jeshi la polisi kama "special task" isiyo rasmi just working for this gang. Ndiyo maana wanapokuja wanajitambulisha kama polisi. Na police wanajua kuwa ni wao...
MAGEREZA - Huko nako si salama, genge hili lipo. Tops wote wako mikononi mwao. Mwezi wa nane huu kila Polisi Magereza na polisi wote nchini waliingiziwa
TZS 1,000,000 kwenye akaunti zao za mishahara.
"...
Tulipouliza, tuliambiwa hiyo ni allowance ya kazi nzuri. Mhe. Rais amewapa zawadi hiyo..." Alisema askari MAGEREZA mmoja rafiki yangu ktk Moja ya Gereza, DSM....
JWTZ - Huku sina uhakika wa 100%. Lakini kwa ukimya wao huu huku wakiona mambo yakiharibika nchini, kidogo inatia shaka. Bila shaka kuwa hata huko shetani huyu alishaingia...
TISS: Hawa ndio hakuna kitu kabisa. Hawako kwa ajili ya nchi wala taifa. Ili mradi wanakula na kushiba pesa za genge hili, hawako concerned na hali wala maisha na Usalama wa watu na wananchi wa nchi hii...
WHAT IS NEXT? WANANCHI TIFANYEJE KUJIOKOA WENYEWE?
Hayo👆👆 ndiyo maswali mawili muhimu ya kujiuliza na kuyapatia majibu kabla hatujatekwa na kupotezwa wote....!