Askofu Josephat Gwajima: Yamemitia! Hutoboi kama mfalme Uzia asipokufa kwanza na kuondoka!!

Askofu Josephat Gwajima: Yamemitia! Hutoboi kama mfalme Uzia asipokufa kwanza na kuondoka!!

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592
Isa 6:1-3 SUV
".....Katika mwaka ule aliokufa mfalme Uzia nalimwona Bwana ameketi katika kiti cha enzi, kilicho juu sana na kuinuliwa sana, na pindo za vazi lake zikalijaza hekalu. Juu yake walisimama maserafi; kila mmoja alikuwa na mabawa sita; kwa mawili alifunika uso wake, na kwa mawili alifunika miguu yake, na kwa mawili aliruka. Wakaitana, kila mmoja na mwenzake, wakisema, Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, ni BWANA wa majeshi; dunia yote imejaa utukufu wake..."
​

HAYUPO, AMESHAKUFA HUYO...!!

SHANGILIENI ENYI NCHI NA MBINGU!!
 
Umaskini ni kitu kibaya sana.
Ngozi nyeusi imelaanika ndo maana inaongoza kwa umaskini. Mungu alijua ndo maana katufanya maskini kiasi hiki, siyo kwa hizi roho mbaya.
 
Alie kufa nani, Yeyewenyewe, Gwajima au Nani embu eleweka nipike nyanyazangu zoote nilizo nujua juz hapa
Utabiri wa Askofu Gwajima umetimia

Mfalme wa taifa lako ni nani?

Basi, Mfalme Uzia asipokufa kwanza, Tanzania haitoboi

Wewe kapike nyanya zako, ule ushibe na kushangilia

View: https://youtu.be/feAxAg3mVOc?si=Grr6dUOcFGFMIIBHhttps://youtu.be/P2J6CDM8J_8?si=aFlU283p7E2Njx0-https://youtu.be/cJqp4ybSGJo?si=vd4qPXx5kzrw24FOhttps://youtu.be/Hk-_k3Nn8H4?si=1EDyYwi4SgztoJZ3
 
Mnadhani kifo ni kama kubonyeza kitokee kwa wepesi kiasi hiko?
Unaishi sayari ipi mkuu, kitu chenye uhakika kati ya kufa na kuishi ni kipi?

Samahani mkuu, sipo kwa wahuni ambao wanatuaminisha vitu vya kijinga ila nilitaka kukukumbusha kuwa, kufa ni sawa na mtu anayebanwa usingizi ukamwelemea na kisha akalala
 
Katika dunia ya sasa yenye msukosuko wa mawazo na taarifa zinazokuja kwa kasi, tunahitaji kukumbuka mambo ya msingi. Watu wanahitaji amani kuliko fujo, kwa sababu amani inatupa nafasi ya kuishi vizuri, kufanya kazi, kutafuta riziki, na kufurahia maisha bila hofu. Vijana tunahitaji mwelekeo na akili ya kutafakari kuliko kauli za uchochezi, kwa sababu bila mwongozo sahihi tunaweza kupotezwa na hasira za muda mfupi na kuharibu mustakabali wetu wenyewe. Nchi yetu inahitaji umoja kuliko mgawanyiko, kwa sababu tukigawanyika tunapoteza nguvu yetu kama taifa, lakini tukikaa pamoja tunakuwa na uwezo wa kushinda changamoto nyingi kuliko tunavyodhani. Hii ndiyo nguvu ya utashi wa kibinadamu, kuchagua kilicho bora, kutanguliza utu, na kulinda amani inayotuwezesha kuendelea kusonga mbele.
 
Back
Top Bottom