The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Umaskini ni kitu kibaya sana.Isa 6:1-3 SUV
".....Katika mwaka ule aliokufa mfalme Uzia nalimwona Bwana ameketi katika kiti cha enzi, kilicho juu sana na kuinuliwa sana, na pindo za vazi lake zikalijaza hekalu. Juu yake walisimama maserafi; kila mmoja alikuwa na mabawa sita; kwa mawili alifunika uso wake, na kwa mawili alifunika miguu yake, na kwa mawili aliruka. Wakaitana, kila mmoja na mwenzake, wakisema, Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, ni BWANA wa majeshi; dunia yote imejaa utukufu wake..."
HAYUPO, AMESHAKUFA HUYO...!!
SHANGILIENI ENYI NCHI NA MBINGU!!
Utabiri wa Askofu Gwajima umetimiaAlie kufa nani, Yeyewenyewe, Gwajima au Nani embu eleweka nipike nyanyazangu zoote nilizo nujua juz hapa
Mnadhani kifo ni kama kubonyeza kitokee kwa wepesi kiasi hiko?Utabiri wa Askofu Gwajima umetimia
Mfalme wa taifa lako ni nani?
Basi, Mfalme Uzia asipokufa kwanza, Tanzania haitoboi
Wewe kapike nyanya zako, ule ushibe na kushangilia
View: https://youtu.be/feAxAg3mVOc?si=Grr6dUOcFGFMIIBHhttps://youtu.be/P2J6CDM8J_8?si=aFlU283p7E2Njx0-https://youtu.be/cJqp4ybSGJo?si=vd4qPXx5kzrw24FOhttps://youtu.be/Hk-_k3Nn8H4?si=1EDyYwi4SgztoJZ3
Unaishi sayari ipi mkuu, kitu chenye uhakika kati ya kufa na kuishi ni kipi?Mnadhani kifo ni kama kubonyeza kitokee kwa wepesi kiasi hiko?