Askofu Josephat Gwajima: Yamemitia! Hutoboi kama mfalme Uzia asipokufa kwanza na kuondoka!!

Hizi mithali ni shida

Lakini itabidi watu tujifunze zaidi na kukubaliana na ukweli

Mtu unapoacha kupendwa na wanyumbani mwako kwa asilimia zaidi ya 90 na wale wasio wa nyumbani mwako kwa zaidi ya asilimia hiyohiyo, ujuwe unamaisha magumu sana duniani
 
Hatuishi vizuri, hatuna amani, tuna hofu kuu, riziki hatupati,hatufurahii maisha kabisa! Na hatujaleta fujo, TANZANIA imesherehekea miaka 64 ya uhuru jana, lakini walio huru kweli ni viongozi na wale wanaofaidika na uongozi, polisi yupo HURU kuua raia kama sisimizi ili tu aliye madarakani aendelee kuwepo,
Wabunge na mawaziri wapo huru kwa kuwa mifumo yote ya kiulinzi na kiuchumi ina wapa kipaumbele wao, ila wewe na mimi hatuna cha kufurahia ndugu, muda wowote mtawala anaweza kuitoa roho yako, kama tu utaenda kinyume na furaha yake, kwa sasa uhai wa mtanzania hauna thamani yoyote, ni rahisi kuliko kikombe cha kahawa.
 
Umaskini ni kitu kibaya sana.
Ngozi nyeusi imelaanika ndo maana inaongoza kwa umaskini. Mungu alijua ndo maana katufanya maskini kiasi hiki, siyo kwa hizi roho mbaya.
Mbona wazungu wana roho mbaya, wabaguzi wa rangi, walitawala Africa kimabavu, wanaendelea kuiba resources za watu na bado wengi wao ni matajiri?
Mbona Charlie Kirk alipofariki wazungu wengi tu walifurahi? Na mbona wao sio masikini kama watu weusi?
Mbona waarabu wana pesa lakini wanawatesa sana vijakazi wao wa Kiafrika?

Roho mbaya haiendani na rangi ya ngozi, wala umasikini, wala Uafrika. Mtu yoyote yule anaweza kuwa na roho mbaya
 
Umaskini ni kitu kibaya sana.
Ngozi nyeusi imelaanika ndo maana inaongoza kwa umaskini. Mungu alijua ndo maana katufanya maskini kiasi hiki, siyo kwa hizi roho mbaya.
Isingekuwa umasikini ungesimama Imara kutetea haki leo hii, Isingekuwa umaskini wako ungesimama kutetea uhai wanaopotea leo.Lakini kwa sababu ya umaskini wako umeficha ukweli ili uendelee kupata fedha haramu za damu .
 
Juzi si tumemwona akiwa na naibu balozi wa marekani pale ikulu ya chamwino?
Mama yupo salama. Sema hana furaha. Tangu ile 29.10 hana raha kabisa.
Nasikia usiku halali anaweweseka mara amtaje Mzee Kibao, mara amtaje Mdude Nyagali na siku za karibuni anamtaja sana Polepole kwenye njozi zake, si unaona hata sura yake ilivyomshuka anapitia mateso makali sana kabla ya jambo lenyewe kukamilika
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…