PreGE2025 Askofu KKKT Dk. Mbilu Watanzania msiwachague viongozi wanaotoa Rushwa

PreGE2025 Askofu KKKT Dk. Mbilu Watanzania msiwachague viongozi wanaotoa Rushwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dk Msafiri Joseph Mbilu,amewataka waumimi na Watanzania kwa ujumla kujiepusha kuchukua rushwa kwa wanasiasa wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi ujao na wasiwachague.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa tano baada ya Jubilee ya Miaka 125 ya Injili uliofanyika Magamba wilayani Lushoto mkoani Tanga kwa siku tatu na kuhitimishwa leo Aprili 5,2025 Askofu Mbilu amesema moja ya jambo kubwa ambalo wananchi wanatakiwa kujiepusha nalo ni kushawishika kupewa rushwa,ili kuwapa nafasi wagombea badala ya kupita kwenye mifumo sahihi.

 
CCM wote wanatoa rushwa, na ndio wenye wagombea Kila Kona ya nchi!
Tumchague nani
 
Si aseme tu msichague ccm anaogopa nini?
 
Back
Top Bottom