the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Sasa mtu aibe kura aingie madarakani ataacha kuiba mali ya umma"Wizi umeota mizizi katika nchi yetu watu wanaiba kila kitu, wanaiba kura. Na ninyi mmeshuhudia juzi tu kwenye mambo haya ya kura kura pamoja na kwamba tumesikia ucaguzi umekuwa huru na wa haki, si kweli. Na wengine kwa ajili ya kutaka kupata nafasi wamewaua wengine, ndugu zangu tunapaswa kuombea roho hiyo" Dkt Isaac Laizer, Askofu KKKT Dayosisi ya Magharibi
View attachment 3247590
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Watu wa Mungu utawajua tu. Injili yao inachoma kama Moto."Wizi umeota mizizi katika nchi yetu watu wanaiba kila kitu, wanaiba kura. Na ninyi mmeshuhudia juzi tu kwenye mambo haya ya kura kura pamoja na kwamba tumesikia ucaguzi umekuwa huru na wa haki, si kweli. Na wengine kwa ajili ya kutaka kupata nafasi wamewaua wengine, ndugu zangu tunapaswa kuombea roho hiyo" Dkt Isaac Laizer, Askofu KKKT Dayosisi ya Magharibi
View attachment 3247590
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
It is unlikely kwamba ataachaSasa mtu aibe kura aingie madarakani ataacha kuiba mali ya umma
Kuombea au kukemea? Ebu rekebisha hapo."Wizi umeota mizizi katika nchi yetu watu wanaiba kila kitu, wanaiba kura. Na ninyi mmeshuhudia juzi tu kwenye mambo haya ya kura kura pamoja na kwamba tumesikia ucaguzi umekuwa huru na wa haki, si kweli. Na wengine kwa ajili ya kutaka kupata nafasi wamewaua wengine, ndugu zangu tunapaswa kuombea roho hiyo" Dkt Isaac Laizer, Askofu KKKT Dayosisi ya Magharibi
View attachment 3247590
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Acha utanii bhana..... Nimejikuta nacheka kwa kusikitika.....Kura zinaibwa kuanzia kwenye Chaguzi za Kanisani 🐼
Umeongea jambo la msingi sana.Sasa mtu aibe kura aingie madarakani ataacha kuiba mali ya umma
Labda pale kanisani kwenu tu Jo?Kura zinaibwa kuanzia kwenye Chaguzi za Kanisani 🐼
Askofu Dr Bagonza alilalamika sana Kwenye uchaguzi wa Askofu Mkuu wa KKKT 😀Acha utanii bhana..... Nimejikuta nacheka kwa kusikitika.....