Askofu Laizer KKKT Dayosisi Magharibi: Siku hizi watu kutekwa ni jambo la kawaida. Tuliofikiri wana majibu ya tatizo hili nao wanapiga Singeli

Askofu Laizer KKKT Dayosisi Magharibi: Siku hizi watu kutekwa ni jambo la kawaida. Tuliofikiri wana majibu ya tatizo hili nao wanapiga Singeli

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Msikilize kwa makini Dkt.Isaac Laizer Askofu KKKT Dayosisi ya Magharibi akiongea na wahumini katika Kongamano la UKWATA kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea

"Ndugu zangu tunahitaji kuondoa roho za utekaji. Katika nchi hii siku hizi kutekwa ni jambo la kawaida sana. Na ninyi mnashuhudia watu wanatekwa tu, wanatekwa"

"Na kwa bahati mbaya, kwa wake tuliofikiri kwamba wana majibu juu ya tatizo hili, hawana. Nao wanapiga Singeli. Ni jambo la kushangaza kabisa"

Back
Top Bottom