GE2025 Askofu Malasusa ahimiza amani kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Alex Malasusa, amewataka Watanzania bila kujali itikadi za dini zao, kuheshimu na kudumisha amani na utulivu katika kuelekea kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais, ili kulisaidia Taifa kubaki salama kabla na hata baada ya kumalizika kwa uchaguzi


Your browser is not able to display this video.
 


He is ccm B
 
Huoniii aibuu??? Bora ungekaa kimyaa......
 
Hakuna amani bila haki.

No reforms no election.

Free Lissu
 
Kwanini waislamu na madhehebu mengine ukiacha katoliki hutaja amani na husahau haki?
 

Penye haki lazima amani iwepo. Pasipo haki amani itaweza kupotea. Baba Askofu tunayekupenda sana fanya kuhubiri haki Kila unaposhauri jambo kuhusu siasa za nchi hii. Na amani itadhihirika wazi. Watu Wana maumivu baba.
 

..kwanini wanaogopa kutamka uchaguzi uwe wa HAKI?

..mahali ambapo hapana HAKI basi amani inakuwa mashakani.
 
Hivi hawa ma Dokta hawajuagu HAKi inatangulia kwanza then amani by default inakuwepo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…