Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Alex Malasusa, amewataka Watanzania bila kujali itikadi za dini zao, kuheshimu na kudumisha amani na utulivu katika kuelekea kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais, ili kulisaidia Taifa kubaki salama kabla na hata baada ya kumalizika kwa uchaguzi