Kwa hiyo unawashauri waumini wamuombee Malasusa aondoe vifungu vya kuisifu CCM kwenye vitabu vya kanisa mkuu?Wenye afya hawahitaji tabibu bali walio wagonjwa. Kuna kuombea ili mgonjwa apone na kuna kuombea walio na afya waepushwe na maradhi.
Ndiyo maana mnahimizwa kuomba bila kukoma na tena bila kuchoka maana maombi ya pande hizo kuu mbili.
Mume mlevi na aliyetekeleza familia bado ana haki ya kuombewa na akaweza kuponywa na maombi ya mkewe ili arejee katika viwango vya Baba na Mume bora
Mkuu hakuna andiko hata moja kwenye Biblia linalosema tukuza serikali ya kigaidi au kidhalimu. Ndiyo maana nimewaita ni wajinga.Sasa wao wafanyeje wakati maandiko yanawataka kuitukuza serikali, hata serikali ya kigaidi na kidhalimu?
Shida kanisani hauwezi kuinua mkono kuhoji.Hao waumini wanaomuunga mkono nao ni wajinga vile vile tu!
Maaskofu wengi wa KKKT ni walafi zaidi ya fisi, wakiongozwa na askofu mkuu, Bwana Malasusa.Walutheri wakipenyezewa rupia tu wote wanaingia line. Umesahau Askofu Dr. Moshi alivyopewa gari la kifahari na hii Serikali?
Umewahi msikia akikemea uovubwowote wa hii serikali?
KKKT haina tofauti na BAKWATA inapokuja uhusiano wako na CCM
Jifunze kuwavumilia tu kama wewe ni muumin huko
DuuhAnalidhalilisha sana kanisa
Ana upungufu wa akiliInasikitisha na inahudhunisha sana Askofu mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), ndugu Alex Malasusa, ameligeuza kanisa hili pendwa kuwa kama jumuiya ya CCM. Wakati alipokuwa kwenye nafasi ya uaskofu mkuu kwa mara ya kwanza, Askofu huyu ambaye ni kada maarufu wa CCM, alifanikiwa kupenyeza aya kwenye vitabu mbalimbali vya kanisa zinazoisifu, kuiombea na kuitukuza serikali ya CCM.
View attachment 3641865
Ndugu Alex Malasusa, kada maarufu wa CCM
Kana kwamba hilo halitoshi, kwenye aya hizo kuna maneno yanamuombea Rais, Wakuu wa Mikoa na Wilaya na viongozi wote wa nchi hii. Cha ajabu zaidi, hata baada ya mauaji ya MO29, bado askofu huyu ameendelea kuhimiza wachungaji, wainjilisti na waumini kumuombea Samia na “serikali” yake wakati inajulikana fika siku ya Oktoba 29, 2025 hakukuwa na uchaguzi bali mauaji ya raia wasiokuwa na hatia na uporaji wa uchaguzi.
MAONI YANGU
Wakati umefika waumini kuchukua hatua stahiki kukomesha ujinga huu unaofanywa na Askofu Malasusa ndani ya kanisa la KKKT. Anapaswa akumbushwe kwamba hili kanisa ni taasisi inayojitegemea na kwamba lilikuwepo kabla yake na litaendelea kuwepo hata baada ya yeye kuondoka. Asije akadhani kwamba KKKT ni mali yake na ya familia yake.
Natoa rai kwa waumini wa dhehebu hili kumshikiza adabu, hata ikibidi kwa njia ngumu, kwamba KKKT haiwezi kutumiwa kwa misingi ya kisiasa na kwa faida ya familia moja tu, huku maelfu ya waumini ambao wapendwa wao waliuliwa Oktoba 29 bado hawajapewa miili ya ndugu zao wakazike. Tena jina la Samia linapotajwa mara kwa mara ndani ya kanisa linawakasirisha sana ndugu na jamaa waliowapoteza wapendwa wao wasiokuwa na hatia siku ya mauaji ya halaiki (Oktoba, 29).
Ujinga huu huwezi kuusikia ndani ya kanisa katoliki au makanisa mengine yanayojitambua. Unasikika tu ndani ya KKKT na ndani ya kanisa la Mwamposa, ambao ni machawa na vibaraka wakubwa wa CCM.
Nawasilisha.
Kwani Yesu kafundishaje kuhusu kiongozi dhalimu na k.nInasikitisha na inahudhunisha sana Askofu mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), ndugu Alex Malasusa, ameligeuza kanisa hili pendwa kuwa kama jumuiya ya CCM. Wakati alipokuwa kwenye nafasi ya uaskofu mkuu kwa mara ya kwanza, Askofu huyu ambaye ni kada maarufu wa CCM, alifanikiwa kupenyeza aya kwenye vitabu mbalimbali vya kanisa zinazoisifu, kuiombea na kuitukuza serikali ya CCM.
View attachment 3641865
Ndugu Alex Malasusa, kada maarufu wa CCM
Kana kwamba hilo halitoshi, kwenye aya hizo kuna maneno yanamuombea Rais, Wakuu wa Mikoa na Wilaya na viongozi wote wa nchi hii. Cha ajabu zaidi, hata baada ya mauaji ya MO29, bado askofu huyu ameendelea kuhimiza wachungaji, wainjilisti na waumini kumuombea Samia na “serikali” yake wakati inajulikana fika siku ya Oktoba 29, 2025 hakukuwa na uchaguzi bali mauaji ya raia wasiokuwa na hatia na uporaji wa uchaguzi.
MAONI YANGU
Wakati umefika waumini kuchukua hatua stahiki kukomesha ujinga huu unaofanywa na Askofu Malasusa ndani ya kanisa la KKKT. Anapaswa akumbushwe kwamba hili kanisa ni taasisi inayojitegemea na kwamba lilikuwepo kabla yake na litaendelea kuwepo hata baada ya yeye kuondoka. Asije akadhani kwamba KKKT ni mali yake na ya familia yake.
Natoa rai kwa waumini wa dhehebu hili kumshikiza adabu, hata ikibidi kwa njia ngumu, kwamba KKKT haiwezi kutumiwa kwa misingi ya kisiasa na kwa faida ya familia moja tu, huku maelfu ya waumini ambao wapendwa wao waliuliwa Oktoba 29 bado hawajapewa miili ya ndugu zao wakazike. Tena jina la Samia linapotajwa mara kwa mara ndani ya kanisa linawakasirisha sana ndugu na jamaa waliowapoteza wapendwa wao wasiokuwa na hatia siku ya mauaji ya halaiki (Oktoba, 29).
Ujinga huu huwezi kuusikia ndani ya kanisa katoliki au makanisa mengine yanayojitambua. Unasikika tu ndani ya KKKT na ndani ya kanisa la Mwamposa, ambao ni machawa na vibaraka wakubwa wa CCM.
Nawasilisha.
Kwa uchawa huu, CCM watachukua muda mrefu sana kung'olewa madarakani.Inasikitisha na inahudhunisha sana Askofu mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), ndugu Alex Malasusa, ameligeuza kanisa hili pendwa kuwa kama jumuiya ya CCM. Wakati alipokuwa kwenye nafasi ya uaskofu mkuu kwa mara ya kwanza, Askofu huyu ambaye ni kada maarufu wa CCM, alifanikiwa kupenyeza aya kwenye vitabu mbalimbali vya kanisa zinazoisifu, kuiombea na kuitukuza serikali ya CCM.
View attachment 3641865
Ndugu Alex Malasusa, kada maarufu wa CCM
Kana kwamba hilo halitoshi, kwenye aya hizo kuna maneno yanamuombea Rais, Wakuu wa Mikoa na Wilaya na viongozi wote wa nchi hii. Cha ajabu zaidi, hata baada ya mauaji ya MO29, bado askofu huyu ameendelea kuhimiza wachungaji, wainjilisti na waumini kumuombea Samia na “serikali” yake wakati inajulikana fika siku ya Oktoba 29, 2025 hakukuwa na uchaguzi bali mauaji ya raia wasiokuwa na hatia na uporaji wa uchaguzi.
MAONI YANGU
Wakati umefika waumini kuchukua hatua stahiki kukomesha ujinga huu unaofanywa na Askofu Malasusa ndani ya kanisa la KKKT. Anapaswa akumbushwe kwamba hili kanisa ni taasisi inayojitegemea na kwamba lilikuwepo kabla yake na litaendelea kuwepo hata baada ya yeye kuondoka. Asije akadhani kwamba KKKT ni mali yake na ya familia yake.
Natoa rai kwa waumini wa dhehebu hili kumshikiza adabu, hata ikibidi kwa njia ngumu, kwamba KKKT haiwezi kutumiwa kwa misingi ya kisiasa na kwa faida ya familia moja tu, huku maelfu ya waumini ambao wapendwa wao waliuliwa Oktoba 29 bado hawajapewa miili ya ndugu zao wakazike. Tena jina la Samia linapotajwa mara kwa mara ndani ya kanisa linawakasirisha sana ndugu na jamaa waliowapoteza wapendwa wao wasiokuwa na hatia siku ya mauaji ya halaiki (Oktoba, 29).
Ujinga huu huwezi kuusikia ndani ya kanisa katoliki au makanisa mengine yanayojitambua. Unasikika tu ndani ya KKKT na ndani ya kanisa la Mwamposa, ambao ni machawa na vibaraka wakubwa wa CCM.
Nawasilisha.
Ajabu ni kwamba KKT wana mali, mahospitali na Taasisi za Elimu ila bado mnawaita ChawaWalutheri wakipenyezewa rupia tu wote wanaingia line. Umesahau Askofu Dr. Moshi alivyopewa gari la kifahari na hii Serikali?
Umewahi msikia akikemea uovu wowote wa hii serikali?
KKKT haina tofauti na BAKWATA inapokuja uhusiano wao na CCM