Naona MUHAS na UDOM wakifungua nafasi na kuchukua wadaktari 1000 kila chuo kwa mwaka..basi KCMC, Bugando, HKMU, IMTU watakufa tu..maana serikali wakati ada ni 1.5m private ni zaidi za 5.0 m yaani mara 3 ..yaani hivi vyuo vinapata wanafunzi kupitia Mikopo ili kujitajirisha???
Tuangalie tu 5 years ..nasema private hawatapata wanafunzi!!
Je kwa nini TCU isiharmonize fees kwa public na private..kwani Bodi ndo hutoa Mikopo???