Askofu Malasusa: Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi wa kipekee, hata Yesu alihubiri Injili kwa miaka mitatu tu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Askofu Malasusa wa DMP amesema kinachoangaliwa siyo wingi bali ubora wa kazi uliyoifanya hapa duniani na kwamba hayati Magufuli amehudumu kwa muda mfupi kama Rais lakini kazi zake ni nyingi na bora.

Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi wa kipekee barani Afrika.

Askofu Malasusa amesema hayo katika ibada ya Ijumaa kuu katika Kanisa la CCT Chuo Kikuu cha Dar es salaam.

Source TBC.
 
Hahahaaa

Kwamba alijua mwendazake anakata moto muda si mrefu?
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Huyu Askofu apati mialiko siku hizi.Sijui yule Shehe anaishije siku hizi
 
Askofu njaa. Katia huruma sana na mashavu yake.
 
EngutanK,
Siyo lazima umheshimu kila mtu, basi jitahidi angalau kuwaheshimu wanaokuzidi umri hata kama wakiwa wajinga kulikoni wewe
 
Askofu Malasusa wa DMP amesema kinachoangaliwa siyo wingi bali ubora wa kazi uliyoifanya hapa duniani na kwamba hayati Magufuli amehudumu kwa muda mfupi kama Rais lakini kazi zake ni nyingi na bora.

Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi wa kipekee barani Afrika.

Askofu Malasusa amesema hayo katika ibada ya Ijumaa kuu katika Kanisa la CCT Chuo Kikuu cha Dar es salaam.

Source TBC.

TBC [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Amesema ukweli siku hizi mi huwa hata nasahau kama kuna Rais nchi hii.
 
Askofu Malasusa wa DMP amesema kinachoangaliwa siyo wingi bali ubora wa kazi uliyoifanya hapa duniani na kwamba hayati Magufuli amehudumu kwa muda mfupi kama Rais lakini kazi zake ni nyingi na bora.

Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi wa kipekee barani Afrika.

Askofu Malasusa amesema hayo katika ibada ya Ijumaa kuu katika Kanisa la CCT Chuo Kikuu cha Dar es salaam.

Source TBC.
Askofu mzinzi
 
Hayati màgufool alikuwa ana mambo ya mcharo sana sijui alikulia wapi eti akakiamini kikombe cha babu halafu akawa anapingana na chanjo ya muzungu
 
Back
Top Bottom