Askofu Malasusa: Suala la ndoa za jinsia moja tuachieni sisi, vitabu vinasema ndoa ni ya mume na mke full stop!

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376
Katika sherehe za kukabidhiwa kazi leo, Askofu Malasusa amesema;

"Kumekuwa na majadiliano mengi kuhusu suala la ndoa za jinsia moja na kwamba jambo la ndoa za jinsia moja tuachieni viongozi wa dini kwasababu ni letu, sisi tunajua vitabu vimesema ndoa ni mume na mke full stop. Tunahitaji kuheshimu uumbaji wa Mungu aliyeumba mwanaume na mwanamke

"Na ndani ya neno la Mungu mwanadamu hapaswi kupewa uhuru tu lakini pia heshima ya neno la Mungu ndio linalotuongoza."

Rais Samia ameongeza kuwa, "kuna changamoto sana kwenye taasisi ya familia linapokuja suala la malezi, akisema Ripoti ya Utafiti ya Ufatiliaji wa Kaya mwaka 2022 ya Ofisi yaTaifa ya Takwimu inaonesha kwamba zaidi ya nusu wa watanzania walio katika umri wa kuoa au kuolewa hajaingia kwenye ndoa.

"Kwa wakazi wa mijini ni wastani wa 61.5 na vijijini ni asilimia 55.5, lakini wanaofanikiwa kuingia kwenye ndoa kuna changamoto mbalimbali zinazosabisha migorogoro kwenye ndoa, ukatili kwa watoto, matukio ya ukatili kuongeza huku wanawake wakiwa ni hawanga wakubwa na hivyo kutaka taasisi ya dini pamoja na wananchi kuhakikisha wanafanya kwa nafasi zao ili kupeleka kujenga taifa bora."
 
Unamsafisha Mtoto mchanga akijisaidia haja kubwa na kutupa chooni sababu ni uchafu, kisha Me msomi unachukua eliboro unadumbukiza kwenye nnya ya Ke au Me na kujisifu kuwa unacheza miguu yote miwili kama Christian Ronaldo "CR 7".

Je ambaye hakusoma atajifunza nini kwako Msomi?

Ubinadamu kazi/Humanity is work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Unamsafisha Mtoto mchanga akijisaidia haja kubwa na kutupa chooni sababu ni uchafu, kisha Me msomi unachukua eliboro unadumbukiza kwenye nnya ya Ke au Me na kujisifu kuwa unacheza miguu yote kama Christian Ronaldo "CR 7".

Je ambaye hakusoma atajifunza nini kwako Msomi?

Ubinadamu kazi/Humanity is work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Sasa kwanini na wanawake msikatae kuingiliwa kwenye nnya zenu! Madhara ni kotekote! Interlacustrine R
 
Unamsafisha Mtoto mchanga akijisaidia haja kubwa na kutupa chooni sababu ni uchafu, kisha Me msomi unachukua eliboro unadumbukiza kwenye nnya ya Ke au Me na kujisifu kuwa unacheza miguu yote miwili kama Christian Ronaldo "CR 7".

Je ambaye hakusoma atajifunza nini kwako Msomi?

Ubinadamu kazi/Humanity is work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Tuombe sana Mungu
 
Toka rafiki yangu apoteze mke sababu ya Padre, na Padre kujengea mke wa jamaa nje ya mkoa, na maisha ya jamaa kuharibika kabisa, na Padre mwenyewe namfaham ndo siku niliyoamua kutowasikiliza ma Padre na kuwaamini.
 
Toka rafiki yangu apoteze mke sababu ya Padre, na Padre kujengea mke wa jamaa nje ya mkoa, na maisha ya jamaa kuharibika kabisa, na Padre mwenyewe namfah, ndo siku niliyoamua kutowasikiliza ma Padre na kuwaamini.
Kosa la mtu mmoja huwezi kuwahukumu Mapadre wote
 
Story za Mapadre sasa ni too much... Mtoto kaenda kuungama Padre kamuita kamlawiti, shenzy kabisa
Hat mautaadh na mashehe wanafira sana watoto
 
Attachments

  • IMG-20240604-WA0003.jpg
    IMG-20240604-WA0003.jpg
    42 KB · Views: 3
Katika sherehe za kukabidhiwa kazi leo, Askofu Malasusa amesema;

"Kumekuwa na majadiliano mengi kuhusu suala la ndoa za jinsia moja na kwamba jambo la ndoa za jinsia moja tuachieni viongozi wa dini kwasababu ni letu, sisi tunajua vitabu vimesema ndoa ni mume na mke full stop. Tunahitaji kuheshimu uumbaji wa Mungu aliyeumba mwanaume na mwanamke

"Na ndani ya neno la Mungu mwanadamu hapaswi kupewa uhuru tu lakini pia heshima ya neno la Mungu ndio linalotuongoza."

Rais Samia ameongeza kuwa, "kuna changamoto sana kwenye taasisi ya familia linapokuja suala la malezi, akisema Ripoti ya Utafiti ya Ufatiliaji wa Kaya mwaka 2022 ya Ofisi yaTaifa ya Takwimu inaonesha kwamba zaidi ya nusu wa watanzania walio katika umri wa kuoa au kuolewa hajaingia kwenye ndoa.

"Kwa wakazi wa mijini ni wastani wa 61.5 na vijijini ni asilimia 55.5, lakini wanaofanikiwa kuingia kwenye ndoa kuna changamoto mbalimbali zinazosabisha migorogoro kwenye ndoa, ukatili kwa watoto, matukio ya ukatili kuongeza huku wanawake wakiwa ni hawanga wakubwa na hivyo kutaka taasisi ya dini pamoja na wananchi kuhakikisha wanafanya kwa nafasi zao ili kupeleka kujenga taifa bora."
SAHIHISHO: Ndoa ni kati ya mwanaume na mwanamke. Ndoa siyo kati ya MUME na MKE. Wakishaoana ndiyo mwanaume anakuwa MUME na mwanamke anakuwa MKE. Kwenye muunganiko wa jinsia moja (ujinga) HAKUNA NDOA YOYOTE hapo kulingana na tafsiri ya ndoa. Ni ujinga wetu kutafsiri SAME SEX MARRIAGE kwa Kiswahili bila kufikiria mantiki iliyopo. Lazima tuendelee kupinga huu uchafu siyo kazi ya viongozi wa dini peke yao kwa sababu hata hapa anaonekana hajui tafsiri ya ndoa.
 
Toka rafiki yangu apoteze mke sababu ya Padre, na Padre kujengea mke wa jamaa nje ya mkoa, na maisha ya jamaa kuharibika kabisa, na Padre mwenyewe namfaham ndo siku niliyoamua kutowasikiliza ma Padre na kuwaamini.
Sahihi kabisa. Siku hizi wanasingizia KAZI YA UTUME kuwa karibu na WAWATA (wake zetu) bila sisi kutilia shaka na kuanza mahusiano yasiyofaa na kuvunja ndoa za unsuspecting WALEI.
 
Back
Top Bottom