Jitu fala kabisa, eti na hyo ni kiongozi wa dini. Halioni atrocities zinazofanywa na serikali. stupid tenaHuyu inaonekana ni kiongozi mnafiki mkubwa.
Kiongozi unatakiwa zaidi kuongelea haki. Toka kale vita zilikuwepo, na kuna wakati Mungu alizibariki vita hizo kwa sababu zilikjwa ni vita za kuitafuta haki.
Kiongozi mwenye hekima, siku zote huzungumzia haki. Kwa sababu machafuko mengi na vita chanzo chake ni dhuluma. Hivi unaweza kumwambia anayepigwa, tena kwa uonevu, asipige kelele wakati anapigwa?