Askofu Mbwilo wa Dayosisi ya KKKT Kusini Magharibi Magoye ashindwa vibaya uchaguzi

Askofu Mbwilo wa Dayosisi ya KKKT Kusini Magharibi Magoye ashindwa vibaya uchaguzi

Nasadiki kwa Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume.
Kwa jina la baba na la mwana na roho mtakatifu. Amina
Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu kama mwanzo na sasa na siku zote na milele Amina.
Hiiiiiiii!! Hivi Yesu amewahi kuishi Roma Italy??
 
Hiiiiiiii!! Hivi Yesu amewahi kuishi Roma Italy??
Aliyemwachia Kanisa yaani Baba Mtakatifu wa Kwanza (Petro) aliishi Rome...Akafia Rome, akazikwa Rome... likajengwa Kanisa kwa Heshima Yake..." St Peters Basilica"
 
Aliyemwachia Kanisa yaani Baba Mtakatifu wa Kwanza (Petro) aliishi Rome...Akafia Rome, akazikwa Rome... likajengwa Kanisa kwa Heshima Yake..." St Peters Basilica"
Okay, hizi story za Bible zimenichenga kidogo!
 
Mitume walipiga kura kumpata mrithi wa Mtume Yuda aliyejinyonga. Hivyo kupiga kura kumpata kiongozi ni Kibiblia kabisa hawajakosea.
 
Mitume walipiga kura kumpata mrithi wa Mtume Yuda aliyejinyonga. Hivyo kupiga kura kumpata kiongozi ni Kibiblia kabisa hawajakosea.
Ule utaratibu sidhani kama ulikuwa na baraka za Yesu, ndiyo maana Mathias hakufanya kazi iliyotajwa kibiblia. Yesu aliwa hand pick wale 12 yeye mwenyewe na kutambua hilo baada ya kifo cha Yuda msaliti aka mhand pick Paulo yeye mwenyewe na kumpa mission, kumbuka the 12 wslikuwa na mission na hawakustafu mpaka kifo kilipowakuta.
 
James mitume hawakujifanyia wenyewe ilikuwa ni divine appointnent. Hebu soma hapa,

Matendo ya Mitume 1:21-26
[21]Basi katika watu waliofuatana nasi wakati wote Bwana Yesu alipokuwa akiingia na kutoka kwetu,

[22]kuanza tangu ubatizo wa Yohana, hata siku ile alipochukuliwa kwetu kwenda juu, inapasa mmoja wao awe shahidi wa kufufuka kwake pamoja nasi.

[23]Wakaweka wawili, Yusufu, aitwaye Barsaba, aliyekuwa na jina la pili Yusto, na Mathiya.

[24]Kisha wakaomba, wakasema, Wewe, Bwana, ujuaye mioyo ya watu wote, tuonyeshe ni nani uliyemchagua katika hawa wawili,

[25]ashike mahali katika huduma hii na utume huu, alioukosa Yuda, aende zake mahali pake mwenyewe.

[26]Wakawapigia kura; kura ikamwangukia Mathiya; naye akahesabiwa kuwa pamoja na mitume kumi na mmoja.

Hivyo Bwana ndiye aliyewaonesha Hugo Mathiya
 
Kila lakheri mteule. Japo kupiga kura kuchagua askofu naona utaratibu mgumu sana. Sasa huyo aliekua askofu atabaki mchungaji tu wa kawaida au atastaafu
Swali zuri sana hili atabikia kiwa Askofu au mchungaji wa kawaida?
 
Back
Top Bottom