Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
Huyo mie ndio namtaka maana hawa Manabii wa kiume wote wamejaa ulaghai na kuchuma mali za waumini wao labda haka ka kike katakuwa na huruma.Amia kwa Nabii Flora, hana matatizo
Hizi DINI zinazoibuka siku hizi zimejaa kelele na kutisha km hapo huyo Papaa anavyomtisha huyo Mama Abeid kwanini haonekani tena (mm km ni Mke wangu ningemkunja huyo Nabii na nimeshindwa mpigia simu kwani tumepewa Mwenye duka ( Mama Abeid) (0715 448519)
Labda cha kumwambia Asome Biblia Isaya 42 : 1-4 Hatalia wala kupiga kelele wala kupaza sauti barabarani Na wakimbishia awsomee Mathayo 12: 19-21 Hatakuwa na Ubishi wala kupiga kelele
Huyu Papaa ni pepo la Ngono linamsumbua tu baada ya kumuona Mama wa watu keshamshtukia anaanza mambo Ya
Kibwetere wa Uganda au Johannes wa Guyana kutumia Principle ya kuwateketeza Wafuasi wake wote