Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Anawasema CCM huyu, sasa hivi atakuja kutekwa"Kijana usishiriki dhambi za mauaji...." Hakuna mwenye haki ya uhai juu ya mtu mwingine
Dondoo ya Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga wa Jimbo Kuu la Mbeya katika kongamano la 6 la VIWAWA taifa 2025,
Daaah head master wangu huyu miaka flani hivi. Ilinichukua muda sana kuamini kama alikuwa padre kwa kipindi hicho, maana pia alikuwa mwalimu wa scout. Smart sana kichwani huyu jamaa"Kijana usishiriki dhambi za mauaji...." Hakuna mwenye haki ya uhai juu ya mtu mwingine
Dondoo ya Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga wa Jimbo Kuu la Mbeya katika kongamano la 6 la VIWAWA taifa 2025,
na makasisi wanaowalawiti wa vijana wadogo wajitakase uchafu huo unaolichafua kanisa katoliki."Kijana usishiriki dhambi za mauaji...." Hakuna mwenye haki ya uhai juu ya mtu mwingine
Dondoo ya Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga wa Jimbo Kuu la Mbeya katika kongamano la 6 la VIWAWA taifa 2025,
Safi sana"Kijana usishiriki dhambi za mauaji...." Hakuna mwenye haki ya uhai juu ya mtu mwingine
Dondoo ya Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga wa Jimbo Kuu la Mbeya katika kongamano la 6 la VIWAWA taifa 2025,
🥳Daaah head master wangu huyu miaka flani hivi. Ilinichukua muda sana kuamini kama alikuwa padre kwa kipindi hicho, maana pia alikuwa mwalimu wa scout. Smart sana kichwani huyu jamaa