ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania ( AICT) Musa Masanja Magwesela amejitokeza hadharani kuzungunzumia tukio la Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina kufukuzwa bungeni na Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson kutokana na sakata la utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nje ya nchi linalomhusisha Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe.
Baba Askofu Magwesela amesema "Napokea na kusoma nakala ya Taarifa kwa vyombo vya Habari ya Mhe. Luhaga Joelson Mpin (Mb) kuhusu kupewa adhabu ya kutohudhuria vikao vya Bunge 15 mfululizo kuanzia Julai 24 2024...Haki huinua taifa; Bali dhambi ni aibu ya watu wowote" Mithali 14:34
Kupitia ukurasa wake rasmi wa X zamani Twitter Baba Askofu Magwesela ameandika ujumbe huo.
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania ( AICT) Musa Masanja Magwesela