Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 4,355
- 4,476
Ukabila vipi chawa?ukabila umeuona wapi hapo na Askofu original ni yupi!!! Acha ujinga dada anguKwa hiyo kanukuu tu mstari wa Biblia akaishia hapo, ukabila unamsumbua askofu feki shida hawa..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukabila vipi chawa?ukabila umeuona wapi hapo na Askofu original ni yupi!!! Acha ujinga dada anguKwa hiyo kanukuu tu mstari wa Biblia akaishia hapo, ukabila unamsumbua askofu feki shida hawa..!!
Kwa hiyo akikosoa ni kwa sababu ya Ukabila!? Mjinga sana wewe!Kwa hiyo kanukuu tu mstari wa Biblia akaishia hapo, ukabila unamsumbua askofu feki shida hawa..!!
Sianzishi uzi, humu humu tunakwatuanaJaribu kujikita kwenye hoja yake, sio viroja.
Kama vipi anzisha uzi unaohusiana na tuhuma dhidi ya Askofu tukukute huko.
UVCCM wamepata mgao wao kutoka kwa msomaliKua na adabu uvccm ww
Alikuwa Meneja wa Rostam AziziHivi hussein Bashe kabla ya kuwa mbunge alikuwa anapiga mishe gani vile mjini? 🤔
Askofu kaongea ukweliJaribu kujikita kwenye hoja yake, sio viroja.
Kama vipi anzisha uzi unaohusiana na tuhuma dhidi ya Askofu tukukute huko.
Shida hatuna Spika tuna kopo la Spikakasimama kwenye haki, yeye sio muuza utamu wala hayuko bungeni, palipo tendeka haki ndipo anaposimama