Duduvwili JF-Expert Member Joined Jan 31, 2015 Posts 4,355 Reaction score 4,476 Jul 4, 2024 #21 Jay One said: Kwa hiyo kanukuu tu mstari wa Biblia akaishia hapo, ukabila unamsumbua askofu feki shida hawa..!! Click to expand... Ukabila vipi chawa?ukabila umeuona wapi hapo na Askofu original ni yupi!!! Acha ujinga dada angu
Jay One said: Kwa hiyo kanukuu tu mstari wa Biblia akaishia hapo, ukabila unamsumbua askofu feki shida hawa..!! Click to expand... Ukabila vipi chawa?ukabila umeuona wapi hapo na Askofu original ni yupi!!! Acha ujinga dada angu
S stormryder JF-Expert Member Joined Mar 23, 2013 Posts 3,776 Reaction score 5,786 Jul 4, 2024 #22 Ukiona mwanasiasa ana jiamini na si chawa basi usikurupuke kudeal nae. Tulia Akson ni mdogo sana bungeni na amegombea mara 1 tu na si tajiri
Ukiona mwanasiasa ana jiamini na si chawa basi usikurupuke kudeal nae. Tulia Akson ni mdogo sana bungeni na amegombea mara 1 tu na si tajiri
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Jul 4, 2024 #23 Sasa mbona hajatoa tamko lolote
S sambulugu JF-Expert Member Joined Jun 1, 2021 Posts 4,485 Reaction score 8,562 Jul 4, 2024 #24 Jay One said: Kwa hiyo kanukuu tu mstari wa Biblia akaishia hapo, ukabila unamsumbua askofu feki shida hawa..!! Click to expand... Kwa hiyo akikosoa ni kwa sababu ya Ukabila!? Mjinga sana wewe!
Jay One said: Kwa hiyo kanukuu tu mstari wa Biblia akaishia hapo, ukabila unamsumbua askofu feki shida hawa..!! Click to expand... Kwa hiyo akikosoa ni kwa sababu ya Ukabila!? Mjinga sana wewe!
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Jul 4, 2024 #25 kasheije said: Jaribu kujikita kwenye hoja yake, sio viroja. Kama vipi anzisha uzi unaohusiana na tuhuma dhidi ya Askofu tukukute huko. Click to expand... Sianzishi uzi, humu humu tunakwatuana
kasheije said: Jaribu kujikita kwenye hoja yake, sio viroja. Kama vipi anzisha uzi unaohusiana na tuhuma dhidi ya Askofu tukukute huko. Click to expand... Sianzishi uzi, humu humu tunakwatuana
Jackal JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 9,971 Reaction score 13,608 Jul 4, 2024 #26 Hivi hussein Bashe kabla ya kuwa mbunge alikuwa anapiga mishe gani vile mjini? 🤔
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jul 4, 2024 #27 Nsoji go Nvaa said: Kua na adabu uvccm ww Click to expand... UVCCM wamepata mgao wao kutoka kwa msomali
Nsoji go Nvaa said: Kua na adabu uvccm ww Click to expand... UVCCM wamepata mgao wao kutoka kwa msomali
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jul 4, 2024 #28 Jackal said: Hivi hussein Bashe kabla ya kuwa mbunge alikuwa anapiga mishe gani vile mjini? 🤔 Click to expand... Alikuwa Meneja wa Rostam Azizi
Jackal said: Hivi hussein Bashe kabla ya kuwa mbunge alikuwa anapiga mishe gani vile mjini? 🤔 Click to expand... Alikuwa Meneja wa Rostam Azizi
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jul 4, 2024 #29 kasheije said: Jaribu kujikita kwenye hoja yake, sio viroja. Kama vipi anzisha uzi unaohusiana na tuhuma dhidi ya Askofu tukukute huko. Click to expand... Askofu kaongea ukweli
kasheije said: Jaribu kujikita kwenye hoja yake, sio viroja. Kama vipi anzisha uzi unaohusiana na tuhuma dhidi ya Askofu tukukute huko. Click to expand... Askofu kaongea ukweli
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jul 4, 2024 #30 eddy said: kasimama kwenye haki, yeye sio muuza utamu wala hayuko bungeni, palipo tendeka haki ndipo anaposimama Click to expand... Shida hatuna Spika tuna kopo la Spika
eddy said: kasimama kwenye haki, yeye sio muuza utamu wala hayuko bungeni, palipo tendeka haki ndipo anaposimama Click to expand... Shida hatuna Spika tuna kopo la Spika