Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Tawi la wapi?
Tz au wapi?
Alikuwa akiishi Arusha?
Hapana Afrika
Kwa msangalufuHapana ni mapelele
Watoto wakigoma kula wanaweka picha yake lazima waleMbona uvaaji wake unatisha
Mavazi ya shetani umeyaona wapi?R.I.P
Lakini hii picha ya pili,imekaa kana kwamba ni wakala wa shetani na si askofu
Nadhani ni utamaduni wao wa mavazi.R.I.P
Lakini hii picha ya pili,imekaa kana kwamba ni wakala wa shetani na si askofu
Nyie ndiyo mnaamini shetani ana mapembe😂😂R.I.P
Lakini hii picha ya pili,imekaa kana kwamba ni wakala wa shetani na si askofu