Askofu Mkuu Kanisa Orthodox nchini Uganda afariki dunia

R.I.P
Lakini hii picha ya pili,imekaa kana kwamba ni wakala wa shetani na si askofu
Sababu Dunia na Ukristo wa Magharibi walipokuwa wanaeneza dini yao huku Afrika,walitujengea taswira kuwa shetani ana sura ya mtu mweusi, tena walichora taswira ya mzee wa makaMO mwenye uchovu wa maisha sbb ya umri na Uzee.
 
Hivi kumbe orthodox ipo Africa...I thought ni zaidi Sana huko former Soviet countries..
 
Kanisa hili makao yake ni URUSI..

Kama ilivo Angalikana -Uingereza
Katoliki--Vatican .


Wanapatikana sana sana kwenye zile nchi za Usovieti na zile zilizokua zimeegemea upande wa Ujamaa


Kwa hapa Afrika wengi wako Misri, Ethiopia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…