Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
2 Februari 2021, wakati wa Sikukuu ya kutolewa Bwana Hekaluni Baba Mtakatifu Francisko almteuwa Askofu mkuu Novatus Rugambwa kuwa Balozi mpya wa Vatican kwenye Kisiwa cha Cook. Ataendelea pia kuwa Balozi wa Vatican kwenye Visiwa vya Marshall, Kiribati, Nauru na Tonga. Amebarikiwa pia kuwa ni Balozi wa Vatican nchini New Zealand, Fiji, Palau na Mwakilishi wa Kitume kwenye Bahari ya Pacific.
www.radiomarai.co.tz
#Vaticannews
www.radiomarai.co.tz
#Vaticannews