Askofu Mkuu Novatus Rugambwa ameteuliwa na Baba Mtakatifu kuwa Balozi wa Vatican katika Visiwa vya Cook, Fiji, Nauru mpaka New Zealand

Askofu Mkuu Novatus Rugambwa ameteuliwa na Baba Mtakatifu kuwa Balozi wa Vatican katika Visiwa vya Cook, Fiji, Nauru mpaka New Zealand

Huyu si alikua askofu wa jimbo la kigoma then mwaka 2011 kahamishwa kwamba amekua muwakilishi wa papa.
Hapana, huyu hajawahi kuongoza jimbo hapa the Tz. Amekuwa balozi wa Vatican ktk mataifa mbalimbali. Alyekuwa askofu Kigoma ni mh. Protase Rugambwa, kwa sasa katibu wa idara ya uenezaji injili kwa matafa huko Vatican.
 
Mbona anaamishwa amishwa huyu Askofu.


Naona atakuwa cardinals soon
Hawa mabalozi kubadilishiwa vituo vya kazi marakwa mara ni kawaida. Mabalozi mara nyingi baadaye wanakuwa makardinali, lakini sio lazima
 
Watu waliotengenezwa vizuri pia huzalisha vizuri na ili jambo Fulani litimie , basi lazima waendesha mipango wawe ni watu makini kabisaaa...
 
Back
Top Bottom