Sidhani kama anakaa bongo, atakuwa anaishi huko huko Vatican..Yuko kimya sana Baba Askofu huyu, siasa sijawahi kusikia akiongelea.. Kulikoni? Kila la kheri
Yule ni protas rugambwaHuyu si alikua askofu wa jimbo la kigoma then mwaka 2011 kahamishwa kwamba amekua muwakilishi wa papa.
Unayemsema ni Mnyambo na Huyu ni MhayaHuyu si alikua askofu wa jimbo la kigoma then mwaka 2011 kahamishwa kwamba amekua muwakilishi wa papa.
Kitu hujui ni bora ukakaa kimya. Aliyekuwa Askofu wa Kigoma ni Protase Iholana Rugambwa na sasa ni Rais wa wamisionari duniani. Ni Katibu mkuu wa moja ya wizara ya Papa. Natafuta picha yakeBado anaendelea kuwa mwakikishi wa Pope na ameongezewa kisiwa cha Cook.
KweliYule ni protas rugambwa
Sio huyu. Yule ni Askofu protace Rugambwa. Huyu ni Novatus Rugambwa yeye ni balozi siku zote.Huyu si alikua askofu wa jimbo la kigoma then mwaka 2011 kahamishwa kwamba amekua muwakilishi wa papa.
Inaelekea akina Rugambwa wana nyota ya uaskofu.Yule ni protas rugambwa