N Nziiri JF-Expert Member Joined Jul 23, 2020 Posts 446 Reaction score 350 Feb 11, 2021 #21 John Constantine said: Huyu si alikua askofu wa jimbo la kigoma then mwaka 2011 kahamishwa kwamba amekua muwakilishi wa papa. Click to expand... Hapana, huyu hajawahi kuongoza jimbo hapa the Tz. Amekuwa balozi wa Vatican ktk mataifa mbalimbali. Alyekuwa askofu Kigoma ni mh. Protase Rugambwa, kwa sasa katibu wa idara ya uenezaji injili kwa matafa huko Vatican.
John Constantine said: Huyu si alikua askofu wa jimbo la kigoma then mwaka 2011 kahamishwa kwamba amekua muwakilishi wa papa. Click to expand... Hapana, huyu hajawahi kuongoza jimbo hapa the Tz. Amekuwa balozi wa Vatican ktk mataifa mbalimbali. Alyekuwa askofu Kigoma ni mh. Protase Rugambwa, kwa sasa katibu wa idara ya uenezaji injili kwa matafa huko Vatican.
N Nziiri JF-Expert Member Joined Jul 23, 2020 Posts 446 Reaction score 350 Feb 11, 2021 #22 instanbul said: Mbona anaamishwa amishwa huyu Askofu. Naona atakuwa cardinals soon Click to expand... Hawa mabalozi kubadilishiwa vituo vya kazi marakwa mara ni kawaida. Mabalozi mara nyingi baadaye wanakuwa makardinali, lakini sio lazima
instanbul said: Mbona anaamishwa amishwa huyu Askofu. Naona atakuwa cardinals soon Click to expand... Hawa mabalozi kubadilishiwa vituo vya kazi marakwa mara ni kawaida. Mabalozi mara nyingi baadaye wanakuwa makardinali, lakini sio lazima
M Maili tatu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2020 Posts 830 Reaction score 1,070 Feb 11, 2021 #23 Watu waliotengenezwa vizuri pia huzalisha vizuri na ili jambo Fulani litimie , basi lazima waendesha mipango wawe ni watu makini kabisaaa...
Watu waliotengenezwa vizuri pia huzalisha vizuri na ili jambo Fulani litimie , basi lazima waendesha mipango wawe ni watu makini kabisaaa...
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,152 Reaction score 33,899 Feb 11, 2021 #24 Majina ya Rugambwa yanakuwa na baraka flani hv amazing!
Chupayamaji JF-Expert Member Joined Sep 19, 2017 Posts 5,784 Reaction score 13,642 Feb 11, 2021 #25 Hongereni wachaga.
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Feb 11, 2021 #26 Auz said: Inaelekea akina Rugambwa wana nyota ya uaskofu. Click to expand... Tanzania tumekuwa na Cardinal Laurean Rugambwa pia.
Auz said: Inaelekea akina Rugambwa wana nyota ya uaskofu. Click to expand... Tanzania tumekuwa na Cardinal Laurean Rugambwa pia.