ketwas JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 212 Reaction score 36 Jun 17, 2011 #1 breaking news.........Mahakama ya Arusha yatoa hati ya kukamatwa kwa askofu mkuu wa Angrikana dr valentino mokiwa kutokana na kukaidi amri ya mahakama ya kutomsimika askofu
breaking news.........Mahakama ya Arusha yatoa hati ya kukamatwa kwa askofu mkuu wa Angrikana dr valentino mokiwa kutokana na kukaidi amri ya mahakama ya kutomsimika askofu
kilimasera JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 3,068 Reaction score 277 Jun 17, 2011 #2 tunangoja wamkamate sasa hapo CCM inadhidi kupoteza radha
Vin Diesel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 9,088 Reaction score 6,384 Jun 17, 2011 #3 akikamatwa tusubiri chama chetu kwenda kudai aachiwe mara moja