Askofu Mokiwa kukamatwa

Askofu Mokiwa kukamatwa

ketwas

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
212
Reaction score
36
breaking news.........Mahakama ya Arusha yatoa hati ya kukamatwa kwa askofu mkuu wa Angrikana dr valentino mokiwa kutokana na kukaidi amri ya mahakama ya kutomsimika askofu
 
tunangoja wamkamate sasa hapo CCM inadhidi kupoteza radha
 
akikamatwa tusubiri chama chetu kwenda kudai aachiwe mara moja
 
Back
Top Bottom