Askofu Mpemba amjibu RC Amos Makala kuhusu nchi zilizowahi kuuzwa....

Watu hamuelewi context, issue ni kwamba nchi haiwezi kuuzwa kisa madeni sio kwamba territory ya nchi haiwezi kuuzwa kwa sababu za kisiasa, kiuchumi au strategy mfano Alaska n.k

Mfano unadaiwa trillion 100 nchi inauzwaje sasa? Zaidi labda ufanye debt swap for investment ufute kodi au sheria kali kwa kampuni zao, ufumue monetary policy n.k ila sio nchi kuuzwa kwa mnada kama mnavyo argue.
 
Askofu Mpemba hakutaka kukurupuka, aliingia huko huko alikoingia Makala wa CCM with facts.

Ametaja nchi kadhaa kwa ukubwa, mwaka iliuzwa, kiasi, na Wanunuzi.

Kwahio kwa hitimisho, tuna RC Kilaza saaana sana. Unaweza kufuatilia video hii.

Makala ni zuzumagic
 
Ndiyo tatizo la waTanzania kutokuwa na ufahamu wa lugha ya kigeni kama Kiingereza tunapitwa na mambo mengi ktk maktaba, google, youtube na ukweli wa kihistoria.

Askofu Mpemba aendelee kutupa somo ktk Kiswahili maana tunapitwa na mengi pia kudanganywa kwa simulizi zisizo na ukweli za CCM na wengine wote wasiotaka kusema kweli kutokana na upungufu wa Lugha ya Kiswahili kuwa na maandiko, video, habari Google, MSN, vitabu ktk maktaba n.k katika lugha yetu adhimu ya Kiswahili.
 
Hahahaha Makala anakwambia “amegugu” “amegugu”
 
RC amen"Gugu"
 
Back
Top Bottom