Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Makala ni zuzumagicAskofu Mpemba hakutaka kukurupuka, aliingia huko huko alikoingia Makala wa CCM with facts.
Ametaja nchi kadhaa kwa ukubwa, mwaka iliuzwa, kiasi, na Wanunuzi.
Kwahio kwa hitimisho, tuna RC Kilaza saaana sana. Unaweza kufuatilia video hii.
Askofu Mpemba hakutaka kukurupuka, aliingia huko huko alikoingia Makala wa CCM with facts.
Ametaja nchi kadhaa kwa ukubwa, mwaka iliuzwa, kiasi, na Wanunuzi.
Kwahio kwa hitimisho, tuna RC Kilaza saaana sana. Unaweza kufuatilia video hii.
RC amen"Gugu"Ndiyo tatizo la waTanzania kutokuwa na ufahamu wa lugha ya kigeni kama Kiingereza tunapitwa na mambo mengi ktk maktaba, google, youtube na ukweli wa kihistoria.
Askofu Mpemba aendelee kutupa somo ktk Kiswahili maana tunapitwa na mengi pia kudanganywa kwa simulizi zisizo na ukweli za CCM na wengine wote wasiotaka kusema kweli kutokana na upungufu wa Lugha ya Kiswahili kuwa na maandiko, video, habari Google, MSN, vitabu ktk maktaba n.k katika lugha yetu adhimu ya Kiswahili.