Askofu Msonganzila: Wauaji wa albino walipatikana kwa urahisi sana, kwanini wauaji wa watu wengine hawapatikani?

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
"Roho wa Bwana hataruhusu hayo, anapenda amani iwe kwenu. Hakuna amani bila haki na kama amani itakuwa kwenu, haki ni msingi wake, Roho Mtakatifu anataka awafariji hawa waliopoteza waume zao, wazazi wao, atawafariji namna gani kama hatuwajui, hatujui mfumo wao wa kuuwawa, na kwanini yanatokea mara kwa mara? Wauaji wa albino walipatikana kwa urahisi sana, kwanini wauaji wa watu wengine hawapatikani na mimi nitasikitika kweli nikifa ama nikipotea halafu nisipatikane, kwanza kaburi langu linajulikana, limo mule kanisani Musoma Mjini sasa libaki tupu tu kule halafu liitwe tu kaburi la Msonganzila, kwanini nisipatikane.

Kanisa la kipentekose ndio ninyi, mnaishi na hawa watu kwa karibu zaidi pengine kuliko mimi, kuweni weupe kwa dhamira yenu, kuweni waaminifu katika majukumu yenu. Bebeni upendo, unyenyekevu, ukweli, msamaha, chukieni dhambi, kuweni watu ambao mpo tayari hata kuumia kwa haki na ukweli, upendo na amani."- Askofu Michael Msonganzila, Askofu Jimbo la Musoma.

View attachment 3364621
Tumuulize msemaji wa serikali
 
Na wauaji wa kule MKIRU walitumia silaha za moto lakini hawakutamba muda mrefu kama wasiojulikana.
 
Nilikuwa naangalia Citizen tv ya Kenya jinsi wabunge ndani ya bunge wavyowabana idara ya polisi kwa mauaji ya somebody.Ojwanq unaona kweli kunauwajibikaji.
 
"Roho wa Bwana hataruhusu hayo, anapenda amani iwe kwenu. Hakuna amani bila haki na kama amani itakuwa kwenu, haki ni msingi wake, Roho Mtakatifu anataka awafariji hawa waliopoteza waume zao, wazazi wao, atawafariji namna gani kama hatuwajui, hatujui mfumo wao wa kuuwawa, na kwanini yanatokea mara kwa mara? Wauaji wa albino walipatikana kwa urahisi sana, kwanini wauaji wa watu wengine hawapatikani na mimi nitasikitika kweli nikifa ama nikipotea halafu nisipatikane, kwanza kaburi langu linajulikana, limo mule kanisani Musoma Mjini sasa libaki tupu tu kule halafu liitwe tu kaburi la Msonganzila, kwanini nisipatikane.

Kanisa la kipentekose ndio ninyi, mnaishi na hawa watu kwa karibu zaidi pengine kuliko mimi, kuweni weupe kwa dhamira yenu, kuweni waaminifu katika majukumu yenu. Bebeni upendo, unyenyekevu, ukweli, msamaha, chukieni dhambi, kuweni watu ambao mpo tayari hata kuumia kwa haki na ukweli, upendo na amani."- Askofu Michael Msonganzila, Askofu Jimbo la Musoma.

View attachment 3364621

Hapo ndiyo ujue wahusika wanaweza kuwa kina nani ..!
 
1000038554.jpg
 
Back
Top Bottom