TANZIA Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya Kaskazini ( KKKT) Dkt. Erasto Kweka afariki Dunia

Umevipiga vita vilivyo vyema, mwendo umeumaliza na IMANI umeilinda Baba Askofu Kweka, wana Kaskazini watatukumbuka kwa kazi zako nzuri za kulitumikia kanisa wakati wa Uhai wako. Pole wana Dayosisi ya Kaskazini, pole kwa Familia !
 
Kuna wakati nadhani watu huwa tunatumia baadhi ya maneno sehemu zisizotakiwa.

Sasa mdau unasema ”laugh out loud” na ni mtu amekufa umemaanisha nini,au siku hizi tukifa hatulii tena tunacheka?
Pole kwa wafiwa.

Huyo ndio wale anahisi kafanya jambo la maana kumbe kaharibu.


Uzungu mwingi bila kujua,maana.
 
Kuna wakati nadhani watu huwa tunatumia baadhi ya maneno sehemu zisizotakiwa ama kwa kujua au kutokujua.

Sasa mdau unasema ”laugh out loud” na ni mtu amekufa umemaanisha nini,au siku hizi tukifa hatulii tena tunacheka?
Watu wengi hawajui kutolofautisha "l ol" na " l oo" ya kusikitika kiswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…