TANZIA Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya Kaskazini ( KKKT) Dkt. Erasto Kweka afariki Dunia

TANZIA Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya Kaskazini ( KKKT) Dkt. Erasto Kweka afariki Dunia

RIP Bishop.Marehemu Mtoto wake wa kiume alikuwa rafiki yangu.
Alifariki kwa sababu ya ulevi.Niliwahi kumuuliza inakuwaje mtoto wa Askofu anakuwa hivyo.Alinijibu kwa mkato; "Kwani Mimi Askofu?"
 
Askofu Kweka alijitoa kuwania nafasi ya Mkuu wa KKKT.Mgogoro wa Dayosisi ya Meru ulimrejesha nyuma.

RIP Baba Askofu Kweka.
 
Kwa heri Baba yetu...wewe ndiye ulizaa dayosisi yetu ya Arusha ukamweka Askofu Laizer kazini pale usharika wa Ngarenaro mwaka 1988.

"IRUVANI NKUNDI"
 
Back
Top Bottom