Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Donge, aliyetoa mada yuko sahihi kitakwimu. Kumbuka kwamba baada ya kustaafu, anaendelea kuwa na hadhi ya Uaskofu kamaAskofu mstaafu. Akiombwa na askofu aliye madarakani, anaweza hata kutoa daraja ya upadre (mwaka jana Askofu Mstaafu Mathias Isuja wa Dodoma alitoa daraja ya Upadre kule Morogoro). Nadhani utakuwa umeelewaMungu ampuzishe mahali pema peponi, rekebisha kidogo hapo kwenye miaka ya uaskofu,sio 42 bali 31.
Setuba Noel, unapaswa tu kuuliza kwamba huu utamaduni umetoka wapi na kama unaweza kubadilishwa. Ukisema kwamba endapo huu utaratibu ukiendelea kwa miongo kadhaa makanisa yatageuka kuwa makaburi, unaonesha ulivyo na ufinyu wa kufikiria. Kumbuka kanisa katoliki lina umri wa miaka zaidi ya 2000. Kule Ulaya ambapo kanisa lilianza wamekuwa wanazika maaskofu makaburini tangu enzi hizo. Kama utafiti wako ungekuwa sahihi, makanisa kule yangeshageuka kuwa makaburi. Usikurupuke kuongea kitu, jaribu kufanya research kwanzaPoleni wafiwa Mungu awape nguvu ya kustahimili. Naomba kuuliza, ni kwanini wakatoliki wanazika maaskofu wao ndani ya makanisa? Akifa askofu kanisa linageuzwa kaburi, kwanini jamani? Kama Moshi kule naambiwa kuna maaskofu 3 wamezikwa ndani ya kanisa moja. Hali hii ikiendelea miongo mitatu kanisa linaweza kugeuka cemetery kabisa! Kuna sababu gani za kiimani kwa jambo hili, na je haziwezi kubadilishwa?
asante kwa taarifa nimesikitika sana maana alikuwa ni mtu mwema na mpole sa na,amefanya mambo makubwa sana ya maendeleo,mpaka kuna wakati niliwahi kusema kama huyu askofu asiye kusanya kodi amefanya makubwa hivi je serikalia inashindwaje?nitajitahidi nihudhurie mazishi yake ingawa nipo mbali sana.mungu amhurumie na kumweka mahali pema peponi.amina.
mbna huu uzi upo humu,muwe mnaangalia kabla yakupost
Sikuangalia, lkn si vbaya pia