Askofu Munga, aadhimisha ibada(Albadir) ya kulaani waliomvamia Tundu Lissu

Bandiko lako limenigusa sana! Na kunihuzunisha kwa yanayoendelea,Tena kwenye hiyo kauli mbiu yao waliyoigundua sasa hivi"WAPOTEZWE WAMEZIDI".mungu ibariki tanzania
Ndivyo ilivyo ndugu yangu, tuko njia panda, lakini yana mwisho , tujikaze kiume madhalimu yasitumeze!!!
 
Mleta mada acha kupotosha .
Hakuna mahali ambapo Baba Askofu amesoma Albadiri .

Kilichofanyika ni Dua Maalum juu ya hali ya nchi na mambo ,matukio mbalimbali yanayoendelea yanayochangia kuondoa amani yetu na siyo Issue ya Lisuu pekee .!

Kibibilia Dua ni Maombi maalumu ambayo yanayofanywa kupitia Jina la Yesu Kristo Mungu aliye hai ili kuomba
Rehema juu ya uovu unaoendelea.

Katika dua hakuna laana au kuwaombea watu wapatwe na mabaya bali waache njia mbaya .

Dua ni rehema tofauti na Albadiri ambayo ni
..........
 
Mkuu umelenga mule mule..
 
Aksante baba ubarikiwe sana kwa ukweli huo. Bado tunajidai kuwa tunapendwa kwa mabaya yote haya! Mungu tusamehe!
 
KKKT hakika mnajitahidi sana kupiga kichwani hawa viongozi wetu tofauti sana na madhehebu mengine yaliyopo nchini.
 
Nimeondoka na hili,
HAKUNA UZALENDO BILA UMOJA
Amina.
Nadhani dhana nzima ya mahubiri ya askofu imelala hapo. Kujifanya Mzalendo huku ukihubiri utengano huna tofauti na joka analokisema baba Askofu.
 
Unajing'ata nini mkuu sema Magufuli na sio yule ambaye sijui anajifanya mzalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…