Askofu Munga, aadhimisha ibada(Albadir) ya kulaani waliomvamia Tundu Lissu

Wakristo hatuna albadil,tafadhali usipotoshe. Sema ni ibada maalum ya kumuombea kamanda
 
Humu wengine wanataka kumchonganisha Askofu Munga na Mkuu wa Kaya, washindwe na watepetevu, mnataka kusababisha Askofu aambiwe anawashwawashwa
 
Mimi naamini Mungu hana hata chembe moja ya unafiki na uzandiki.

Kama Mungu anayeombwa ni huyu huyu ninayemfahamu, kwa hakika hawezi kusikiliza dua za kinafiki hata siku moja.

Je,Watu waliouawa Kibiti na maeneo mengine wana THAMANI NDOGO kuliko mtu mmoja aliyejeruhiwa na wala hajauawa?
Acheni kumtania Mwenyezi Mungu. Kwa Mungu binadamu wote ni sawa.

Jicho la Mungu si kama jicho la binadamu.
 
Kabisa na ni mangapi wao wameyafanya kwa jina la siasa? Mwenyezi Mungu hadhihakiwi na hujibu kulingana na wakati. Unachomfanyia mwenzio ipo siku nawe utafanyiwa na kipimo ukitumiacho kuhukumu wenzio nawe utahukumiwa nacho.

Ifike kipindi watz tutafakari kwa jicho la tatu.
 
Wewe huwezi kulinganisha matukio ya kibiti na hili la lissu. Hapo ni sawa na kufananisha kifo na usingizi.
 
Na bado mtahangaika sana. Nyie ndo mlifanya hili tukio.
 

Nmekuelewa sana Mtumishi. Asante
 
Mungu libariki kanisa
 
Du albadir ikajibu sawia 2021 muacheni Mungu aitwe Mungu.
 
Du albadir ikajibu sawia 2021 muacheni Mungu aitwe Mungu.
Albadir hujibu pale pale la Mungu hakuonyeshi. Kuna majambazi walikamatwa na kupigwa risasi Dar es Salaam na Mwanza, hatujui. Kuna magaidi waliuliwa Kibiti Lindi. Kuna wasiojulikana waliokufa bila kujulikana wewe hujui, hiyo yote ndiyo albadir. Kuna wengine wamekufa Africa ya kusini na Rwanda na Spain kwa vita. Kuna waliokufa kwa Covid kama Shariff Hamad, au kwa ugonjwa wa moyo kama Magufuli. Albadir huwa ni kimyakimya na haizuii vifo vingine. Inawezekana pia kuwa Tundu Lissu huyo huyo labda alimuonea mtu hiyo ndiyo iikuwa albadir yake?
 
Albadir imetik.. Magufuli na kiringi chake chote wamekufa kweli. Na wapambe wake wote hadi mashekhe waliokuwa wanasema Magufuli ni zaidi ya muhamad na Yesu wamefukuzwa kwa aibu
 
Mungu ambariki sana Munga
 
Watanzania wenye mapenzi mema mlisema nakuandika mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…