R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,894 Reaction score 44,117 Feb 15, 2023 #61 share said: Safi sana Askofu Munga. Click to expand... Watu wenyewe hawajulikani huwezi kuwapeleka polisi so ni kumlilia Mungu tu ndiye atajibu.
share said: Safi sana Askofu Munga. Click to expand... Watu wenyewe hawajulikani huwezi kuwapeleka polisi so ni kumlilia Mungu tu ndiye atajibu.
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Feb 15, 2023 #62 Mungu hawahi wala hachelewi, wakati uliokubalika ilikuwa 17/3/2021.
M Mcharo son JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 4,718 Reaction score 3,804 Feb 15, 2023 #63 SAGAI GALGANO said: Mungu hawahi wala hachelewi, wakati uliokubalika ilikuwa 17/3/2021. Click to expand... Ndio naelewa sasa. Mke wa JPM hakupenda mumewe agombee urais, hata kwenye kampeni ni baada ya kusisitizwa. Why anamjua vizuri mumewe kuriko sisi.
SAGAI GALGANO said: Mungu hawahi wala hachelewi, wakati uliokubalika ilikuwa 17/3/2021. Click to expand... Ndio naelewa sasa. Mke wa JPM hakupenda mumewe agombee urais, hata kwenye kampeni ni baada ya kusisitizwa. Why anamjua vizuri mumewe kuriko sisi.