Askofu Mwamakula ana msaada gani kwa CHADEMA? Mbona kama hamna anachowasaidia, kwa ujumla hana political influence

Wewe anonymous una ujasiri gani wa kuhoji uhalali wa mtu aliyejitoa wazi wakati wa dictator.!?
Yule jamaa ni mwamba.

Nyambaf.
Amina , mwanakondoo ameshinda
 
Mkuu Idugunde, nenda ukapime kwanza kama akili zako ziko sawa.

Maana unaleta thread ya kumuelezea mtu ambaye hana ushawishi. Askofu Mwamakuka angekuwa hana ushawishi, usingetumia muda wako kuileta thread hapa
 
atawasaidiaje wkt si mwanachama?
 
Mkuu Idugunde, nenda ukapime kwanza kama akili zako ziko sawa.

Maana unaleta thread ya kumuelezea mtu ambaye hana ushawishi. Askofu Mwamakuka angekuwa hana ushawishi, usingetumia muda wako kuileta thread hapa
Nafikiri hoja hapa ni kiasi gani huyu askofu ana ushawishi. Kama anaushawishi mbona hakusaidia kuleta kura za kutosha Chadema? Mbona hajawahi kuleta hamshahamsha ya kisiasa hapa bongo? Mengine ya kuleta kashfa ni dharau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…