Askofu Mwamakula ana msaada gani kwa CHADEMA? Mbona kama hamna anachowasaidia, kwa ujumla hana political influence

Kama enzi za kutafuna mawe aliomba katiba mpya huyo mtu anao ushawishi aisee...
 
Nafikiri hoja hapa ni kiasi gani huyu askofu ana ushawishi. Kama anaushawishi mbona hakusaidia kuleta kura za kutosha Chadema? Mbona hajawahi kuleta hamshahamsha ya kisiasa hapa bongo? Mengine ya kuleta kashfa ni dharau.
Kwani kura za October 2020 zilihesabiwa? Be serious please!! Magufuli kupitia NEC, TISS na Police walichapisha tu matokeo na wakayaita ushindi wa Magufuli kwa 84%. Nani wa kumpa Magufuli hata 30%
 
ASKOFU ANAPOINGILIA KAZI ZA LISSU ANAZOFANYA HUKO NJE UJUE ANASHIDA SIYO MTUMISHI HUYO NI SH****GA TU
 
kama hana mbona utapoteza airtime yako kumuongelea?
 
Askofu Josephat Gwajima ndiye askofu pekee mwenye ushawishi mkubwa Tanzania
 
Ajazie kura wakati mliiba
Mpumbavu mkubwa wewe

Zilijaa mkaiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…