Askofu Mwamakula aonyesha jinsi CCM walivyoiba kura "kijinga" kabisa

Askofu Mwamakula aonyesha jinsi CCM walivyoiba kura "kijinga" kabisa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
IMG-20250314-WA0002.jpg

Halafu kuna mtu anadhihaki No Reform No Election (NRNE)

My Take
Sasa hii inatofauti gani na utapeli wa Nicole Berry๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mwaka 2020.
Ccm walipiga kura siku mbili kabla ya uchaguzi mkuu pale kinondoni mkwajuni. Waliwatumia vijana wadogo na kuahidi kuwalipa 5000 ambazo hazijalipwa mpaka leo.
Doh kumbe sijui mengi. Acha niendelee kuwa mjinga tu.
 
Doh kumbe sijui mengi. Acha niendelee kuwa mjinga tu.
Nakushauri pia utafite walimu wawili watatu walioshiriki kwenye kusimamia kura 2020 utajua mengi mabaya ya ccm. Ukifika halmashauri/manispaa kuna watu wanaitwa maafisa uchaguzi. Hawa ni Watumishi wa serikali, wanalipwa kama wakuu wa idara ndo wale maafisa waandamizi ila ni MAKADA wa CCM
NO REFORM NO ELECTION
 
Kwani Bible ndio inaruhusu Wizi wa kura wa kipumbavu namna hii?
Hahahaaa

Povu tayati

Wewe unajua kura zinaibiwaje?

Maana huyo msogo wengi kibaibo distanced himself from votes

Sijui Imekuaje Leo anakuja na kamudomo
 
We call it a coincidence, kura zimeumana, ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ@askofu_mwanaharakati...!
 
Mie waliniacha hoi kwa mayokeo ya kwanza kutoka kule Hai, walipania kuiujumu CDM mazima. Safari hii wataiba kura kuwapa ubunge Chauma wasikose ruzuku mana chadema hawatashiriki. Uchaguzi utasimamiwa na Jeshi inavyoelekea
 
Back
Top Bottom