OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Chama Cha MazezetaView attachment 3270234
Halafu kuna mtu anadhihaki No Reform No Election (NRNE)
My Take
Sasa hii inatofauti gani na utapeli wa Nicole Berryππππ
Doh kumbe sijui mengi. Acha niendelee kuwa mjinga tu.Mwaka 2020.
Ccm walipiga kura siku mbili kabla ya uchaguzi mkuu pale kinondoni mkwajuni. Waliwatumia vijana wadogo na kuahidi kuwalipa 5000 ambazo hazijalipwa mpaka leo.
Nakushauri pia utafite walimu wawili watatu walioshiriki kwenye kusimamia kura 2020 utajua mengi mabaya ya ccm. Ukifika halmashauri/manispaa kuna watu wanaitwa maafisa uchaguzi. Hawa ni Watumishi wa serikali, wanalipwa kama wakuu wa idara ndo wale maafisa waandamizi ila ni MAKADA wa CCMDoh kumbe sijui mengi. Acha niendelee kuwa mjinga tu.
Keshaachana na Bible?View attachment 3270234
Halafu kuna mtu anadhihaki No Reform No Election (NRNE)
My Take
Sasa hii inatofauti gani na utapeli wa Nicole Berryππππ
Kwani Bible ndio inaruhusu Wizi wa kura wa kipumbavu namna hii?Keshaachana na Bible?
Comment ya kijinga kabisa hiyoKwani Bible ndio inaruhusu Wizi wa kura wa kipumbavu namna hii?
HahahaaaKwani Bible ndio inaruhusu Wizi wa kura wa kipumbavu namna hii?
Hata Aibu huna!We call it a coincidence, kura zimeumana, πππ@askofu_mwanaharakati...!