December 31, 2019
Ujumbe wa kuelekea Mwaka Mpya wa Askofu Emmaus Mwamakula kwa Jamii bila kujali wana imani au la, ila ujumbe huu ni kwa Jamii yote kiTanzania
Dhambi ambayo Jamii nzima, dhambi ya taasisi na dhambi ya kiTaifa ambayo wote tuna inashiriki kuitenda na kuilinda badala yakuikemea. Katika kemeo hili hakuna anayebaki salama, awe raia wa kawaida au watawala walio mamlakani sote tunapaswa kukemewa. Pia kemeo hili linahusu mtu mmoja mmoja, familia, jamii, pia mfumo na sera mbovu bila kujali mtawala ni nani.
Mfano ktk nafasi zetu tumetumia fursa mbalimbali kupora mali za wengine, tumewaumiza kwa namna mbalimbali wenzetu n.k huku sisi kama jamii nzima tuona lakini hatukemei hivyo tushiriki ktk dhambi hii ya Kijamii.
Jamii ya kiTanzania haijaandaliwa na ndiyo maana kuna upungufu wa maadili iwe kwa viongozi wa kisiasa, wafanyabishara, watu wa media na jamii nzima kwa ujumla na ndiyo maana dhambi hii ya kijamii tunaishiriki bila kujua.
Source: MwanaHALISI TV
Viongozi wengi wanashindwa kukemea kutokana na makandokando yao.
Historia ya Matamko na Makemeo
"(7) Dr. Stephen Munga(PhD): Naunga Mkono Tamko la Mkuu wetu wa KKKT Dkt. Fredrick Shoo | JamiiForums" Dr. Stephen Munga(PhD): Naunga Mkono Tamko la Mkuu wetu wa KKKT Dkt. Fredrick Shoo