Askofu Mwamakula: DP World kujenga msikiti wa Masjid al jumaa wa Mbeya na kuendelea kusaidia dini ya kiislam nchini Tanzania!

Huyu askofu akumbuke pia kuelezea namna wazungu wanavyojenga makanisa na kufadhili mataasisi ya dini ya wakiristu ambayo yameenea kila kona.
Wazungu wanajenga mahospital shule ambayo wakristo na waislamu wote wanatumia...nao wangefanya Ivo kama wakijenga hospital wakazi wote wa mbeya bila kujali dini zao wanaweza kupata Huduma.
Asante Kwa kunisaidia kumjibu huyo mdini.
 
Wazungu wanajenga mahospital shule ambayo wakristo na waislamu wote wanatumia...nao wangefanya Ivo kama wakijenga hospital wakazi wote wa mbeya bila kujali dini zao wanaweza kupata Huduma.

Asante Kwa kunisaidia kumjibu huyo mdini.
Haya makanisa yanayojengwa nani mwisilam kaingia?? Na kama mwislamu anaingia kanisani shida iko wapi misikiti ikijengwa, si na wakristo wataingia? Acheni udinii, msikiti kwa wote na makanisa kwa wote. Toeni nongwa msikiti unapojengwa na waislamu wa kiarabu ndivyo na makanisa yanavyojengwa na wazungu na wamalekaniii.
 
askofu, unakumbuka miaka ile walihangaika sana kupeleka mchele na ndani ya mchele wakaweka kuran? hao wamekuja Tanzania kuvuruga mshikamano kati ya wakristo na waislam kwa faida yao. wakitoka hapo wakajenge kanisa basi kama sio wadini na wamekuja kusambaza dini.
 
Sio wamalekani ni wamarekani.....siku hizi hawajengi makanisa wanatoa Huduma za kijamii
 
wana ujasiri sana na very strategic kwenda kufanya icho kitu msikitini, wanategemea support ya waislam kwenye hii issue, na wanajua utawala na viongozi wakubwa ni waislam. wamesahau kuwa kuna wakristo pia wengi tu Tanzania, na kilichofanyika Lebanon hakiwezekani kufanyika Tanzania.
 
hawa jamaa wamejipanga tangu zamani sana, tangu ramadhan iliyopita, na wamejipanga kututenganisha sana aisee. watatugawa na kutusambaratisha kabisa. kwanini wamepitia kwenye dini? si wangeenda hata kwenye vituo vya watoto yatima au wakachime hata visima vijijini huko ili kuonyesha pengine kwamba sio wadini. Tanganyika hatupo salama kabisa dhidi ya watu hawa.
 
Hao matapeli wa kiarabu wamefeli na vilemba vyao, kwa akili za wajinga hapo wanaweza kufurahi wanasaidiwa, kumbe hawajui huo msaada wanaopewa ni kutokana na kile walichoibiwa toka kwenye ule mkataba wa hovyo wa bandari.
waarabu hawanaga akili aisee, mwenye akili hapo asingefikia kwenye msikiti, angefikia shuleni, vyuoni, hospitali au watoto yatima, ili kuficha udini kidogo, wao wamekuja uchi bila hata kupepesa macho.
 
Hawa Waislam Siasa Kali ndyo wenye kuleta shida na hoja zao Wala hazina mashiko. Mfano Mtu anasema wazungu ati wanawakengea wakiristo makanisa, hiyo walifanyaga zama hizo. Siku HIZI wakiristo hujenga makanisa yao kwa michango na ndyo maana utaona makanisa kama pale magomeni, TANKI BOVU, Tabata yamechukua muda mrefu kukamilika.
Lakini wao Misikiti inachipuka kama uyoga; na hilo wakiristo hawana shida nalo, lakini tu msiichanganye Serikali na Wala msituletee Ugaidi
Ushahidi wa uenezeji wa Ugaidi video hapa chini, ambayo Inaonyesha Mwana Mfalme ameona haiendani na vision yake ya 2023 hivyo amepiga marufuku more funding of mosques abroad. But the same agenda inatekelezwa na nchi nyingine za Kiarabu DUBAI, IRAN QATAR na sasa pia UTURUKI CHINI YA Egorgan
 
Na Ujerumani kwa miaka yote zaidi 100 toka waingie mpaka leo wamejenga makanisa mangapi? Kuna waliolalamika? Wote tuliona sawa tu, si ni kwa mapenzi yao.
Sasa kelele zoteee leo za nini? Njaa na uoga wa hawa wachungaji unezidi!
 
Na Ujerumani kwa miaka yote zaidi 100 toka waingie mpaka leo wamejenga makanisa mangapi? Kuna waliolalamika? Wote tuliona sawa tu, si ni kwa mapenzi yao.
Sasa kelele zoteee leo za nini? Njaa na uoga wa hawa wachungaji unezidi!
Makanisa, mashule, mahospitali, vyuo etc kila kona nchini
 
La bandari lishaisha, zimebaki kelele chache nazo zitaisha just before 2024
 
Kumbe kwanini ijenge MISIKITI TU na SIO NA MAKANISA?
 
DP WORLD NA MISIKITI TU SIO NA MAKANISA KWELI NI JAMBO JEMA SANA ILI WAISLAAM WAONGEZEKE NYANDA ZA JUU KUSINI
 
1.Ugaidi
i)Hakunaga mafundisho ya ugaidi, nachojua mimi ni mazoezi kwaajili ya self defense kama karate judo taekwondo etc ambayo hayajaanzishwa na uislam pia ni michezo halali iliyosajiliwa na kuna vituo vingi tu vinafundisha nchini hadi duniani pia kunakuwaga hadi mashindano ya kimataifa.
ii) Kipi bora kufundisha wanafunzi au watu michezo ya kuihami mnayodai ni ugaidi na kufundisha watoto ushoga a usagji kwa kivuli cha kanisa????
Misaada imewaponza watoaji sasa wanataka wanaume muolewe, tena ndoa za jinsia moja sikuhizi ruksa zinafungishwa kanisani papa kashaamua subiri utafutiwe mume.

2.Maendeleo
Hapa ktk maendeleo ususani ya kiuchumi unaongelea, kwa imani yetu ya kiislam
i) Mwenyezi Mungu anamruzuku amtae pasina hisabu, pia hapangiwi nani wa kumna na wakutompa
ii) Dunia ni jela kwa muumini na ni pepo kwa asieuwa muumini, kwahiyo ww kumiliki mali mbili tatu ukajiona unamaendeleo sawa enjoy
iii) tofauti kubwa ya mali baina ya waislam na wasio waislam walio wengi inakuja kutokana na Halali Vs Haramu
Nyie hamna haram bhana kila kitu twende mnafuga na kuuza nguruwe, mnauza pombe, gest bubu & madangulo, kamari, makasino etc tena hizo biashara zote zinalipa hatari ila waislam had aguse kitu anaangalia kwanza imani yake inamruhusu etc
iv) kuna Mou mliingizwa makanisa Vs serikali mnapokea ruzuku nzito ndo inwaoa jeuri kufinnce mambo yote mkatukataza sisi kujiunga na OIC leo hii Bandari unawatoa mavi chadema ya kanisa inazunguka kila kona na mapadri kwenye jukwaa hata aibu mnakosa
 
Inaonekana mkataba siombovu shida kanisa maslahi yaohayaonekani nawao waliishajiaminisha nchi niyakwapekeyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…