Askofu Mwamakula: DP World kujenga msikiti wa Masjid al jumaa wa Mbeya na kuendelea kusaidia dini ya kiislam nchini Tanzania!

Huyu ni Askofu tapeli wa kikiristo
 
Bora hao waalabu watuletee udini kuliko wazungu watulazimishe kunanihiliana na mabendera yao ya urenbow.
 
Wazungu wa ulaya sa ivi wanapigwa vita Afrika nzima ,yaani wanapewa makavu makavu.
We wacha tu Sasa naamini saa ya ukombozi imefika,kuna viongozi wameonyesha uzalendo wa hali ya juu.
Kuna alisema kuwaambia waingereza au wamerekani hizo hela za misaada hatuzitaki zitumieni wenyewe kuwashughulikia homeless people.
 
Ni jambo la ajabu sana,hawa watu wanauza kebab hapa ulaya kila siku.ni wezi wazuri tu wanyonyaji.
Hawa hela wanapata wapi?
Kwanza anaenda na pesa za wizi toka kwao to Europe.
Anasema ye mkimbizi.
Anapewa msaada wa wakimbizi.
Anafanya tena kazi kwa ndugu zake analipwa kimgongomgongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…