Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni Askofu tapeli wa kikiristoAskofu Mwamakula kakosea timing ya tamko lake. Maoni yake haya alipaswa akae nayo kifuani ili kuondoa propaganda za wanaotaka kutumia dini kuua umoja wa kitaifa kwenye kuukataa mkataba huu.
Sasa amewapa ammunition akina Mwaipopo waliyokuwa wanaitafuta.
Njia ya kudeal na akina Mwaipopo ni kuwaignore ili ujinga wao ujionyeshe wenyewe. uachie umma udeal nao kwenye tit for tat, ila Askofu wewe inabidi uconcentrate ktk hoja za mkataba ulivyo.
Ukishaanza kuhoji misikiti, unaibua hisia za waislamu kuwa kumbe wewe ugomvi wako siyo mkataba bali una ugomvi na waislamu kitu ambacho pengine si kweli.