Hawa wala sadaka za waumini lazima wadhibitiwe, siku hizi kila mtu anaanzisha kanisa na kujiita Mtume/askofu/mchungaji/nabii n.k., ilimradi tu awe na kaeneo na hela ya kununua mabati kuzungushia basi ni tabu tupu mtaani. Mbona waislam hawana hii kitu ya kujianzishia misikiti hovyo?