Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kusahau askofu Bagonza na Mwamakula mwenyeweHii yote ni gwajima anatafutwa
Askofu tapeli kashikwa pabaya, badala ya kuhubiri injili unahubiri siasa
Check and Balance ya wala Sadaka ni kazi ya Mungu . Si kazi ya Serikali.Hawa wala sadaka za waumini lazima wadhibitiwe, siku hizi kila mtu anaanzisha kanisa na kujiita Mtume/askofu/mchungaji/nabii n.k., ilimradi tu awe na kaeneo na hela ya kununua mabati kuzungushia basi ni tabu tupu mtaani. Mbona waislam hawana hii kitu ya kujianzishia misikiti hovyo?